KILIMO BIASHARA

 Leo nawaletea mada hadhimu ya kilimo biashara ,kwani wengi huwa tunashindwa kuelewa kilimo ni nini na je nivipi naweza fanya kilimo kuwa kilimo biashara ,huvi vote vinawezekana na ni simpo sana ,je ushajiuliza wakulima wengi kwanini.atutumii nyanja mbalimbali za kilimo ,mhhh inashangaza na ni aibu kubwa sana kwa taifa kama tanzania ambalo lipo uchumi wakati lakini wakulima wengi hawafati hatua stahiki za kilimo ,tukubaliane ivi kilimo biashara kinatokana na njia na mbinu mbalimbali za kufata bila kusahau nyanja mbalimbali za kilimo ili kufanya kilimo biashara ni lazima tuanze na kilimo bora. BY LIVING NDANDA

Comments

  1. Asante sana kwa kutujuza maana ya kilimo biashara wengi huwa atuelewi

    ReplyDelete
  2. Dah asante sana kwa kutujuza maana ya kilimo wengi wetu tulikua atujui maana ya kilimo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sawa endelea kufatilia kilimo kwanza blog kwa taarifa bora sana za kilimo

      Delete
  3. Natamani kuendelea kujua kwani mimi nimekulia mpya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kilimo kwanza ni blog kwa ajili ya kilimo na buashara tunatoa mafunzo mbalimbali ya kilimo na taarifa mbalimbali za kilimo na soko lake kwa ujumla

      Delete
  4. Ningepend kuuliz hvi mtakua mafunz ya kilimo zaid ya haya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio tunatarajia kutoa mafunzo ya kilimo mbalimbali ndani na nje ya nchi

      Delete
  5. Embu nisaidie apo kuhusu kilimo bihashara

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tunaomba email yako pi zidi kuangalia makala zetu zijazo

      Delete
    2. Tunaomba email yako pia endelea kutembelea makala zetu zijazo

      Delete
  6. Replies
    1. Thnajitaidi kuleta makala nzuri zaidi

      Delete
    2. Dah bonge la fursa nanimejifunza kitu na tukumbuke pia kuwa kilimo ndiyo kitega uchumi kwa watu wengi Tanzania

      Delete
    3. Endelea kutembelea blog yetu na pia pakuaa app yetu kwa uharaka na wepesi zaidi

      Delete
  7. Nimefurahia mafunzo katika blog hii napendekeza pia kuwepo na mazao yanayostahimili ukame

    ReplyDelete

Post a Comment

Thank you for your comment

2022.All right reserved

KILIMO CHA KUFANYA ILI UFANIKIWE MWAKA HUU .2022

HUDUMA YA MAVAZI