Posts

2022.All rights reserved

MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE NA MAFANIKIO

Image
Buy ,sell and earn with kijijishop Nitangulize shukrani zangu kwenu natumaini mu wazima wa afya , Karibuni Tena katika  darasa letu hili  Na Leo tunaenda kuangalia mambo gani MAKUU yakufanya ili ufanikiwe kirahisi Sana. Matangazo Ni muhimu kwetu. Karibu kijijishop Tanzania#kijijishop the best online shopping in Tanzania Pia waweza pata ajira mtandaoni kupitia kijijishop Tanzania Tuanze Sasa kuangalia hatua kwa hatua. MAFANIKIO Ni Nini? MAFANIKIO ni hatua apigayo mwanadama kwa kutoka chini kwenda juu ,(yaani kutoka ngazi Mona kwenda ngazi nyingine) Nb MAFANIKIO sio pesa,sio Mali ila MAFANIKIO Ni akili ya kuweza kugeuza fursa kuwa ajira na mwishowe kuwa kipato Tangazo. Ivo basi  MAFANIKIO kwa lugha nyepesi Ni uwezo wa kufumbua macho ,kumulika fursa na kugeuza fursa kuwa ajira. Mambo ya kuzingatia ili ufanikiwe. Binadam wengi tunatamani kufanikiwa lakini hatujui vitu gani tufanye ili tufanikiwe  Ingawa yapo mambo mengi yakufanya ila yafuatayo Ni mambo muhimu ambayo mtu ...

HUDUMA YA MAVAZI

Image
Buy ,sell and earn with kijijishop Karibu kijijishop,imeandaliwa na living ernest ndada. Kijijishop ni kampuni pekee tanzania inayo jiusisha na swala lizima la kuuza na kununua bidhaa kwa njia ya kimtandao Pamoja na kutoa ajira kwa vijana kwa njia ya nertwork marketing. Leo tunaenda kuwaonyesha aina ya nguo zinazopatikana kijijishop Na unafuu wake na ubora wake Tutangulize shukrani ,pia tuwataarifu yakuwa tunatangaza biashara za watu kupitia youtube,facebook ,instergram pamoja na kupitia blog yetu hii Karibu ndanda tv tukuhudumie 0625539736                   MAVAZI. T_shirt kali ,ya champion boy.  Nguo hii ni nzuri ,imara ukubwa wa xxl,xl  Rangi za aina zote Bei ni 15000/= + free delivery popote hulipo. Mashabiki wa simba mpooo Uzi bora wa simba ,t shirt ya mtoko  Mahali popote unaingia nayo  Size na rangi yoyote unaipata  Ni nzuri ,ni cotton ,nzito na maandishi ya kudariziwa yaani hayabanduki hata ukae juani. Bei ni ...

JIAJIRI NA KIJIJI SHOP

Image
@official kilimo kwanza 2022  Kwa sasa tanzania kumekuwa na wimbi kubwa la matapeli wanao tumia njia ya mtandao  Lakini kampuni pekee na salama kwa hivi sasa ni kampuni ijulikanayo kama kijijishop  Wanaotoa huduma za kuuza na kununua vitu mtandaoni  Pia inatoa huduma ya nertwork marketing Unajiuliza je unawezaje kuji jiri  Jibu limepatikani  Fuata hatua zifuatazo kufanikisha zoezi hilo. 1.washa data na nenda kwenye search engine yako kama google 2.andika link hii www.kijijishop.co.tz 3.jisajili kikamilifu. 4.lipia membership yaani ada ili uweze kujiajiri Apa utachagua ada kutokana na uwezo wako kuna  15000,20000,30000  Ushindwe mwenyewe . 5.alika marafiki  na ulipwe 10000 6. Mshawishi rafiki anumue bidhaa na ulipwe 2% 7.pata huduma ya free delivery Pia unaweza wasiliana nao 0683334001.

KILIMO CHA KUFANYA ILI UFANIKIWE MWAKA HUU .2022

Image
@official kilimo kwanza 2022 Imekua kama bahati leo kuwaletea makala kama hii kwani wengi wetu tutafunguka akili na kutambua ni zao lipi tunaweza kulitumia na kulilima shambani na lika tuletea faida kubwa sana kwa mwaka huu. NB; takwimu hizi zimebezi kwenye mazao makuu kumi ambayo yana samani kubwa kwa mwaka huu 2022 kutokana na uitaji wa masoko ndani na nje ya nchi ulivo ,sio siri kuwa wengi tunalima tu bila ya kujua ni nini tunalima,wapi tutauza ,na kwanini tunalima, basi twende sawa kwenye makala hii pia twende na ile ile slogan yetu yakuwa KILIMO KWANZA "fanya kilimo na kikulipe". Hivo basi kwa kauli mbiu hio app juu basi twende saww sawa ili tutambue ni kilimo kipi kinaweza kututoa meaka huu 2022. 1.KIlimo cha maharage Hiki ni moja ya zao kubwa sana na lenye thamani kubwa sana africa na njebya africa.kwa.sasa kwani karibia ya 60%ya watanzania na nje ya tanzania tunalitumia zao hili kwa kasi kubwa sana ,lakini sio siri kuwa watanzania wengi tumejisahau na kusahau kulilima...

FAIDA ZA KILIMO

 Kilimo ni moja ya uti wa mgongo nchini kwetu namini wote tunalielewa hilo lakini watanzania wengi wanashindwa kufanikisha malengo yao ya kilimo ivo basi kilimo kwanza company leo imeona iwaletee leo mbinu mbalimbali na faida zake katika kilimo ;kwakusema ivo basi twende sambamba¿¿ ©Ongezeko la mapato ,kilimo kinasimama kama muhimili mkubwa sana wa chazo cha mapato kwa serikali na organization pia kwa mtu binafsi ,sio siri kuwa matajiri wengi wakubwa piaa wanajihusisha na kilimo biaahara kama chanzo cha mapato ,ivo basi ni wazi kuwa sote tukijikita katika sekta ya kilimo hususani, kilimo biashara kwa ukamilifu wote naamini tutafanikiwa kukifanya kilimo kuwa chanzo kikubwa sana cha mapato na mafanikio yetu yote kwa ujumla. ©ongezeko la ajira ; hapa sasa ndipo mahali husika kwa sisi vijana na wafanyabiashara kwa ujumla tunaoenda ,na kauli mbiu ya "fanya kilimo na kikulipe" ,ni wazi kuwa kwa takwimu zinaonyesha kuwa takribani  1/4 ya vijana wanakumbwa na changamoto ya ajira ,yan...

KILIMO BIASHARA

 Leo nawaletea mada hadhimu ya kilimo biashara ,kwani wengi huwa tunashindwa kuelewa kilimo ni nini na je nivipi naweza fanya kilimo kuwa kilimo biashara ,huvi vote vinawezekana na ni simpo sana ,je ushajiuliza wakulima wengi kwanini.atutumii nyanja mbalimbali za kilimo ,mhhh inashangaza na ni aibu kubwa sana kwa taifa kama tanzania ambalo lipo uchumi wakati lakini wakulima wengi hawafati hatua stahiki za kilimo ,tukubaliane ivi kilimo biashara kinatokana na njia na mbinu mbalimbali za kufata bila kusahau nyanja mbalimbali za kilimo ili kufanya kilimo biashara ni lazima tuanze na kilimo bora. BY LIVING NDANDA