KILIMO BIASHARA
Leo nawaletea mada hadhimu ya kilimo biashara ,kwani wengi huwa tunashindwa kuelewa kilimo ni nini na je nivipi naweza fanya kilimo kuwa kilimo biashara ,huvi vote vinawezekana na ni simpo sana ,je ushajiuliza wakulima wengi kwanini.atutumii nyanja mbalimbali za kilimo ,mhhh inashangaza na ni aibu kubwa sana kwa taifa kama tanzania ambalo lipo uchumi wakati lakini wakulima wengi hawafati hatua stahiki za kilimo ,tukubaliane ivi kilimo biashara kinatokana na njia na mbinu mbalimbali za kufata bila kusahau nyanja mbalimbali za kilimo ili kufanya kilimo biashara ni lazima tuanze na kilimo bora. BY LIVING NDANDA
Asante sana kwa kutujuza maana ya kilimo biashara wengi huwa atuelewi
ReplyDeleteDah asante sana kwa kutujuza maana ya kilimo wengi wetu tulikua atujui maana ya kilimo
ReplyDeleteSawa endelea kufatilia kilimo kwanza blog kwa taarifa bora sana za kilimo
DeleteNatamani kuendelea kujua kwani mimi nimekulia mpya
ReplyDeleteKilimo kwanza ni blog kwa ajili ya kilimo na buashara tunatoa mafunzo mbalimbali ya kilimo na taarifa mbalimbali za kilimo na soko lake kwa ujumla
DeleteNingepend kuuliz hvi mtakua mafunz ya kilimo zaid ya haya
ReplyDeleteNdio tunatarajia kutoa mafunzo ya kilimo mbalimbali ndani na nje ya nchi
DeleteEmbu nisaidie apo kuhusu kilimo bihashara
ReplyDeleteTunaomba email yako pi zidi kuangalia makala zetu zijazo
DeleteTunaomba email yako pia endelea kutembelea makala zetu zijazo
Delete🙏🙏
ReplyDeleteShukrani
DeleteYes nzur hyo
ReplyDeleteThnajitaidi kuleta makala nzuri zaidi
DeleteDah bonge la fursa nanimejifunza kitu na tukumbuke pia kuwa kilimo ndiyo kitega uchumi kwa watu wengi Tanzania
DeleteEndelea kutembelea blog yetu na pia pakuaa app yetu kwa uharaka na wepesi zaidi
DeleteNimefurahia mafunzo katika blog hii napendekeza pia kuwepo na mazao yanayostahimili ukame
ReplyDeleteThanks Sana endelea kutufuatilia kwa elimu bora
Delete