KILIMO CHA KUFANYA ILI UFANIKIWE MWAKA HUU .2022
@official kilimo kwanza 2022
Kwa hapo namini tutaenda kuwekeza katika zao hili kwaajili ya kujiinua kiuchumi.
Imekua kama bahati leo kuwaletea makala kama hii kwani wengi wetu tutafunguka akili na kutambua ni zao lipi tunaweza kulitumia na kulilima shambani na lika tuletea faida kubwa sana kwa mwaka huu.
NB; takwimu hizi zimebezi kwenye mazao makuu kumi ambayo yana samani kubwa kwa mwaka huu 2022 kutokana na uitaji wa masoko ndani na nje ya nchi ulivo ,sio siri kuwa wengi tunalima tu bila ya kujua ni nini tunalima,wapi tutauza ,na kwanini tunalima, basi twende sawa kwenye makala hii pia twende na ile ile slogan yetu yakuwa KILIMO KWANZA "fanya kilimo na kikulipe".
Kwa hapo namini tutaenda kuwekeza katika zao hili kwaajili ya kujiinua kiuchumi.
2.KILIMO CHA MAHINDI.
Apa najua wengi wenu mmeshangaa sana kwanini zao hili linashika nafasi ya pili ,narudia tena takwimu hizi zinatokana na uhitaji wa soko kwa mwaka huu 2022. Ni wazi kuwa kwa sasa karibia nusu ya africa wanatumia chakula kitokanacho na zao la maindi ,apa namaanisha " maize" kwa Tanzania nikaribia asilimia 99.99468% wanatumia mahindi kwa mambo mbalimbali ikiwemo kama chakula, apa kulima kwako kwa kitaalamu ndipo utapata faida kubwa sana ,lakini ukilima holela holela kma ulivo zoea nfipo utajikita na kuwa miongoni mwa wale ambao kila siku wanasema kilimo hakilipi, ambao mimi nawaita washamba wa kilimo.,zao hili kwa sasa lina bei kubwa sokoni ivo kwa kuwa tunafnya kilimo biashara basi hatuna budi kulilima zao hili kwa ajili ya kupata faida na si vinginevo.picha ifuatayo inatuonyesha jinsi kilimo bora cha mahundi kinavo zaa shambani .
Inabidi tujikite katika kilimo cha mahindi na kiwe kilimo biashara na sio biashara kilimo.
3.KILIMO CHA MPUNGA , MBOGAMBOGA NA NYANYA.
Apa mtajiuliza sana kwanini nikaweka kilimo cha mpunga mboga mboga na nyanya ,ivi vote vinashika nafasi ya tatu kwani uitajivwa soko kwa mwaka huu 2022 ni mkubwa sana ,kwa mazao yote haya ,nyanya, mpunga pia mboga mboga hivo basi ijapokua ni ngumu kuelewa kwanini mbogamboga na nyanya zina thamani sokoni kama mpunga.? Apa inabidi ufungue masikio yako na macho yako pia ,usiwe umebezi kwenye mbogamboga zina uzwa 200/= kwanini ziwe sawa na mpunga ,haa kwa app bila shaka utakua unapotea sana tu , chakufanya inabidi utulie na ufikirue gharama za mpunga na faida yake ikwapi ,gharama za nyanya na faida ya ikwapi ,garama ya mbogamboga na faidavyake ikwapi ,kwa apo naamini tutaendavsawa kwa hali ya juu.Kwa apo tutaona jinc gani zao la mpunga linavomea na badae hutoa mchele kwa ubora wa hali ya juuLakini ikumbukwe kuwa faida ni pale unapotoa faida kwa gharama ,asa amini usiamini nyanya na mbogamboga ukichukua faida ukitoa gharama basi faida inayobaki ni sawa kabisa na kilimo cha mpunga. Sambamba na mazao kama matikiti matango na vitunguu yote yanafaida sawa Lakini mazao yote haya utapata faida kwakufanya kilimo biashara na sio biashra kilimo.
HAYO NDIO MAZAO MAKUU MATATU LAKINI KWANZIA NAMBA NNE HADI KUMI NI MAZAO YAFUATAYO.
4.zao la kahawa
5. Zao la parachichi.
6. Zao la korosho
7. Zao la mauwa.
8. Zao la katani.
9. Zao la mihogo na viazi
10. Kilimo cha maharage machanga.
Naamini tumepata darasa kubwa sana makala ijayo tutaeleza kinagaubaga zao moja na lingine kwa nzia jinsi linavoandaliwa hadi sokoni ,.
Umeandikwa na MR: living ndanda.
Kama unamaoni au ungependa tukufikie shambani kwako waweza yatoa kwenye comment chini au email. Livingndanda@gmail.com./0625539736 pia tunatoa ofa kwa kampuni zinazotaka kuweka matangazo kwa blogs na app yetu ya kilimo kwanza official..








Comments
Post a Comment
Thank you for your comment