KILIMO CHA KUFANYA ILI UFANIKIWE MWAKA HUU .2022
@official kilimo kwanza 2022 Imekua kama bahati leo kuwaletea makala kama hii kwani wengi wetu tutafunguka akili na kutambua ni zao lipi tunaweza kulitumia na kulilima shambani na lika tuletea faida kubwa sana kwa mwaka huu. NB; takwimu hizi zimebezi kwenye mazao makuu kumi ambayo yana samani kubwa kwa mwaka huu 2022 kutokana na uitaji wa masoko ndani na nje ya nchi ulivo ,sio siri kuwa wengi tunalima tu bila ya kujua ni nini tunalima,wapi tutauza ,na kwanini tunalima, basi twende sawa kwenye makala hii pia twende na ile ile slogan yetu yakuwa KILIMO KWANZA "fanya kilimo na kikulipe". Hivo basi kwa kauli mbiu hio app juu basi twende saww sawa ili tutambue ni kilimo kipi kinaweza kututoa meaka huu 2022. 1.KIlimo cha maharage Hiki ni moja ya zao kubwa sana na lenye thamani kubwa sana africa na njebya africa.kwa.sasa kwani karibia ya 60%ya watanzania na nje ya tanzania tunalitumia zao hili kwa kasi kubwa sana ,lakini sio siri kuwa watanzania wengi tumejisahau na kusahau kulilima...