MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE NA MAFANIKIO
Buy ,sell and earn with kijijishop Nitangulize shukrani zangu kwenu natumaini mu wazima wa afya , Karibuni Tena katika darasa letu hili Na Leo tunaenda kuangalia mambo gani MAKUU yakufanya ili ufanikiwe kirahisi Sana. Matangazo Ni muhimu kwetu. Karibu kijijishop Tanzania#kijijishop the best online shopping in Tanzania Pia waweza pata ajira mtandaoni kupitia kijijishop Tanzania Tuanze Sasa kuangalia hatua kwa hatua. MAFANIKIO Ni Nini? MAFANIKIO ni hatua apigayo mwanadama kwa kutoka chini kwenda juu ,(yaani kutoka ngazi Mona kwenda ngazi nyingine) Nb MAFANIKIO sio pesa,sio Mali ila MAFANIKIO Ni akili ya kuweza kugeuza fursa kuwa ajira na mwishowe kuwa kipato Tangazo. Ivo basi MAFANIKIO kwa lugha nyepesi Ni uwezo wa kufumbua macho ,kumulika fursa na kugeuza fursa kuwa ajira. Mambo ya kuzingatia ili ufanikiwe. Binadam wengi tunatamani kufanikiwa lakini hatujui vitu gani tufanye ili tufanikiwe Ingawa yapo mambo mengi yakufanya ila yafuatayo Ni mambo muhimu ambayo mtu ...