Posts

Showing posts from February, 2023

HUDUMA YA MAVAZI

Image
Buy ,sell and earn with kijijishop Karibu kijijishop,imeandaliwa na living ernest ndada. Kijijishop ni kampuni pekee tanzania inayo jiusisha na swala lizima la kuuza na kununua bidhaa kwa njia ya kimtandao Pamoja na kutoa ajira kwa vijana kwa njia ya nertwork marketing. Leo tunaenda kuwaonyesha aina ya nguo zinazopatikana kijijishop Na unafuu wake na ubora wake Tutangulize shukrani ,pia tuwataarifu yakuwa tunatangaza biashara za watu kupitia youtube,facebook ,instergram pamoja na kupitia blog yetu hii Karibu ndanda tv tukuhudumie 0625539736                   MAVAZI. T_shirt kali ,ya champion boy.  Nguo hii ni nzuri ,imara ukubwa wa xxl,xl  Rangi za aina zote Bei ni 15000/= + free delivery popote hulipo. Mashabiki wa simba mpooo Uzi bora wa simba ,t shirt ya mtoko  Mahali popote unaingia nayo  Size na rangi yoyote unaipata  Ni nzuri ,ni cotton ,nzito na maandishi ya kudariziwa yaani hayabanduki hata ukae juani. Bei ni ...

JIAJIRI NA KIJIJI SHOP

Image
@official kilimo kwanza 2022  Kwa sasa tanzania kumekuwa na wimbi kubwa la matapeli wanao tumia njia ya mtandao  Lakini kampuni pekee na salama kwa hivi sasa ni kampuni ijulikanayo kama kijijishop  Wanaotoa huduma za kuuza na kununua vitu mtandaoni  Pia inatoa huduma ya nertwork marketing Unajiuliza je unawezaje kuji jiri  Jibu limepatikani  Fuata hatua zifuatazo kufanikisha zoezi hilo. 1.washa data na nenda kwenye search engine yako kama google 2.andika link hii www.kijijishop.co.tz 3.jisajili kikamilifu. 4.lipia membership yaani ada ili uweze kujiajiri Apa utachagua ada kutokana na uwezo wako kuna  15000,20000,30000  Ushindwe mwenyewe . 5.alika marafiki  na ulipwe 10000 6. Mshawishi rafiki anumue bidhaa na ulipwe 2% 7.pata huduma ya free delivery Pia unaweza wasiliana nao 0683334001.