MAMBO YA KUZINGATIA ILI UWE NA MAFANIKIO

Buy ,sell and earn with kijijishop

Nitangulize shukrani zangu kwenu natumaini mu wazima wa afya
, Karibuni Tena katika  darasa letu hili 
Na Leo tunaenda kuangalia mambo gani MAKUU yakufanya ili ufanikiwe kirahisi Sana.
Matangazo Ni muhimu kwetu.
Karibu kijijishop Tanzania#kijijishop the best online shopping in Tanzania
Pia waweza pata ajira mtandaoni kupitia kijijishop Tanzania



Tuanze Sasa kuangalia hatua kwa hatua.

MAFANIKIO Ni Nini?
MAFANIKIO ni hatua apigayo mwanadama kwa kutoka chini kwenda juu ,(yaani kutoka ngazi Mona kwenda ngazi nyingine)
Nb
MAFANIKIO sio pesa,sio Mali ila MAFANIKIO Ni akili ya kuweza kugeuza fursa kuwa ajira na mwishowe kuwa kipato



Tangazo.

Ivo basi 
MAFANIKIO kwa lugha nyepesi Ni uwezo wa kufumbua macho ,kumulika fursa na kugeuza fursa kuwa ajira.


Mambo ya kuzingatia ili ufanikiwe.
Binadam wengi tunatamani kufanikiwa lakini hatujui vitu gani tufanye ili tufanikiwe 
Ingawa yapo mambo mengi yakufanya ila yafuatayo Ni mambo muhimu ambayo mtu akiyafata basi ni lazima afanikiwe.
1).
IDEA
Jambo la Kwanza kabisa ili ufanikiwe Ni lazima uwe na idea 
Yaani lazima ufungue macho ,umulike na uje na idea nzuri itakayo sikika zaidi na kupendwa na watu 
"Idea Ni jumla ya mawazo yako yote ulio ya waza kisha kuyapembua na kupata jawabu sahihi basi Hilo jawabu ndio idea" alisema living ndanda since 2022

Kila mtu huwa anamawazo ya MAFANIKIO hivo yatupasa kuyachambua mawazo hayo ili tuje najawabu Mona.

2)
NIA
Hapa ndipo wengi tunafel kwani tunajikuta tunajidharau Sana kwa kuona idea zetu Ni ndogo au hatuna fedha za kuzikamilisha
Tunachopaswa nikuweka Nia ya kuikamilisha  idea hio bila kujali itagharimu shingapi na kwa mda gani
"Pambana kutimiza malengo yako usipo timiza tutakuajiri utimize yakwetu " alisema ruge mutahaba 
Kwenye Nia kuna njia ,hupaswi kukata tamaa unapaswa kukaza buti ili kutimiza ilo lengo
(Mada ijayo tutaangalia namna yakutimiza Nia pasipo na fedha)

3)
Chagua mtu sahihi
Kiukweli hakuna mtu anaweza kamilisha malengo yake pasipo kuwa na mtu nyuma yake 
(Kipindi kijijishop Tanzania naipambania 
Sikuwa na mtu nyuma lakini ilifika mahali nliitaji kuwa na mtu wakunishauri hata kimawazo 
Ndipo nyuma yangu wakawa watu mbalimbali kama felister,davdi,na ester)
Living says.
Hapa hupaswi kuchagua mtu kisa Ni ndugu yako ,au moenz wako au rafiki yako hapana 
Unapaswa kuchagua mtu ambaye mtaelewana na mpo tayari kupambania ndoto zenu .


Tupate tangazo kidogo.


4) USIOGOPE kujaribu.
Kiukweli hakuna mafaMAFAN bila changamoto ingawa changamoto Ni nyingi lakini hupaswi kukata tamaa kwani uogopako kufanya wewe basi jua wenzako walifanya na wakapavuka
Hivo baai hupaswi kukata tamaa unapaswa kulambana Hadi mwisho
Na katika hatua hi ndio hatua ya mwisho kwani utaona dalili nyingi kama vile
_kukimbiwa na marafiki
_kutukanwa kwa unachofanya
_kuishiwa na fedha
_majaribu mbalimbali
_ndoto mbalimbali
_mkato was ushawishi wa tamaa
_ kutengwa na mpenzi wako 
_kusumbuliwa na wadada wengi kimapenzi

Uonapo dalili zote izi ndipo ujue kuwa hatua uliopo Ni yamwisho na unakwenda kupata MAFANIKIO


5) MAFANIKIO
Ndipo basi unaanza kuyaona MAFANIKIO na kuyaishi MAFANIKIO 
Hivo basi nijukumu lako kukaza buti kuweza kufanikiwa
Na MAFANIKIO mazuri Ni kujiajiri na sio kuajiriwa.

Imeandaliwa na 
Mr living ernest ndanda.
0625539736
Wasiliana nasi kupata kitabu kiitwacho MAFANIKIO.

Comments

2022.All right reserved

KILIMO BIASHARA

KILIMO CHA KUFANYA ILI UFANIKIWE MWAKA HUU .2022

HUDUMA YA MAVAZI