HUDUMA YA MAVAZI

Buy ,sell and earn with kijijishop

Karibu kijijishop,imeandaliwa na living ernest ndada.

Kijijishop ni kampuni pekee tanzania inayo jiusisha na swala lizima la kuuza na kununua bidhaa kwa njia ya kimtandao
Pamoja na kutoa ajira kwa vijana kwa njia ya nertwork marketing.

Leo tunaenda kuwaonyesha aina ya nguo zinazopatikana kijijishop
Na unafuu wake na ubora wake

Tutangulize shukrani ,pia tuwataarifu yakuwa tunatangaza biashara za watu kupitia youtube,facebook ,instergram pamoja na kupitia blog yetu hii
Karibu ndanda tv tukuhudumie
0625539736



                  MAVAZI.
T_shirt kali ,ya champion boy.
 Nguo hii ni nzuri ,imara ukubwa wa xxl,xl 
Rangi za aina zote
Bei ni 15000/= + free delivery popote hulipo.



Mashabiki wa simba mpooo
Uzi bora wa simba ,t shirt ya mtoko 
Mahali popote unaingia nayo 
Size na rangi yoyote unaipata 
Ni nzuri ,ni cotton ,nzito na maandishi ya kudariziwa yaani hayabanduki hata ukae juani.
Bei ni 20000/= + free delivery bureee hadi ulipo.




T-shirt flan iv kali ya champion boy 
Cotton full ,gharama ni rahisi na nyepesi sana bila kusahau ukinunua kwaanzia 5 unapata punguzo la bei kwa kila tshirt la hadi 25% 
Na usafiri ni buree hadi ulipo .
Gharama ni 15000/=



Ukinunua champion boy hio nyeusi unajipatia na ofa ya champion boy nyingine pamoja na usafiri buree kabisa 
Size na rangi za aina zote zinapatikana 
Gharama ni 37500/=
Kisweta cha kwenda na kuombea namba kwa wadada wakali .
Cotton plus ,usafiri bure 
Gharama 20000/=

Tshirt kali ,colour white ,size xl and l 
Usafiri bure 15000/=
Mapenzi yanakuchanganya,au uliempenda hukuelewi 
Sasa usiteseke tena jifariji kwa kuvaa pamba ya love is not war ,size zote zipo,ni nzito ,rangi ,za aina zote unapata 
Gharama ni ,15000/=

Mimi nimevalishwa na kijijishop ,je nawe waitaji kuvalishwa na kijijishop 
Tena kwagharama nafuu kabisa bila ya usumbufu wowote 
Ni kwa 100000/= tsh 
Unapendeza zaid na full suttttt








WADADA 
Sasa hapa tunaenda kuwaonyesha pamba
Za watotobwakike yaani 
Pc za kwenda 
Na ni kwa gharama ndogo na nafuu sana.


Fuully pamba ni kwa bei cheee kabisa 
Je unataka kuvaa kama huyu dada?
Usiogope

Ukahisi ni gharama kubwa sana 
Yote haya hutapata huduma safi ndani ya kijijishop.co.tz pekee
Zipo za aina mbalimbali 
Zote full ni kwq gharama ya 45000/= wahi sasa.


Unapenda kuvaa jins sutiiii
Ujachelewa pendeza kama dada yetu apo kwa gharama ndogo kabisa kuwahi kutokea
Bila kusahau usafiri wa buree kabisaaa
Ni kwa 35000/=tsh.





Kwa yeyote anayeitaji huduma za kutangaziwa biashara yake 
Kuandaliwa makala 
Asisite kuwasiliana nasi kwa 0625539736
Kwa gharama ya 40000/= kwa mwezi mzima hii ni kwa account zetu zote za mitandao ya kijamii.


Uza ,nunua na jiajiri mtandaoni na kijijishop.
Wapigie 0683334001
Waweze kukusaidia

Comments

Post a Comment

Thank you for your comment

2022.All right reserved

KILIMO BIASHARA

KILIMO CHA KUFANYA ILI UFANIKIWE MWAKA HUU .2022