FAIDA ZA KILIMO
Kilimo ni moja ya uti wa mgongo nchini kwetu namini wote tunalielewa hilo lakini watanzania wengi wanashindwa kufanikisha malengo yao ya kilimo ivo basi kilimo kwanza company leo imeona iwaletee leo mbinu mbalimbali na faida zake katika kilimo ;kwakusema ivo basi twende sambamba¿¿
©Ongezeko la mapato ,kilimo kinasimama kama muhimili mkubwa sana wa chazo cha mapato kwa serikali na organization pia kwa mtu binafsi ,sio siri kuwa matajiri wengi wakubwa piaa wanajihusisha na kilimo biaahara kama chanzo cha mapato ,ivo basi ni wazi kuwa sote tukijikita katika sekta ya kilimo hususani, kilimo biashara kwa ukamilifu wote naamini tutafanikiwa kukifanya kilimo kuwa chanzo kikubwa sana cha mapato na mafanikio yetu yote kwa ujumla.
©ongezeko la ajira ; hapa sasa ndipo mahali husika kwa sisi vijana na wafanyabiashara kwa ujumla tunaoenda ,na kauli mbiu ya "fanya kilimo na kikulipe" ,ni wazi kuwa kwa takwimu zinaonyesha kuwa takribani 1/4 ya vijana wanakumbwa na changamoto ya ajira ,yani kwenye vijana 28_ ni vijana 2 tu ambao wanaajira ya kudumu ,ivo basi kumbe tunaweza kutumia sekta hii kama chazo kikubwa cha ajira nchini kwetu Tanzanian.
©kuongeza uhasiano baina yetu na mstaifa kwa ujumls , imrkuwa ni kama njia moja wapo ya kudumisha uingiliano na uhusisno baina yetu sisi na watu wamataifa mbalimbali, kumbe basi tunaweza kutumia sekta hii navfursa hii sisi kama vijana kupata na kutengeneza mahusiano bainavyetu wenyewe na mataifa kwa ujumla ivo kupelekea engezeko la fursa mbalimbali kwetu sisi kama vijana .
KWA kuitimisha basi twaweza kusema kuwa kwa ivo sasa kilimo ndio biashara kubwa yenye faida kubwa duniani kwani inakuwa kwa kasi sana, sisi kama vijana taifa la leo basi tujikite katika shilughuli mbalimbali za kilimo na sio kilimo tu bali KILIMO BIASHARA.
Imeandaliwa na Living Ernest ndanda ,unaweza tutafuta kwa taarifa zaidi ambazo ungependa zionekane kwa mtandao huu ,0625539736/livingndanda@gmail.com
Kilimo kwanza
ReplyDelete@Fyn 7tv
Thankfully
DeleteKaribu uendelee kupata elimu bora ya kilimo biashara kupitia kilimo kwanza company.
ReplyDelete