HUDUMA YA MAVAZI
Buy ,sell and earn with kijijishop Karibu kijijishop,imeandaliwa na living ernest ndada. Kijijishop ni kampuni pekee tanzania inayo jiusisha na swala lizima la kuuza na kununua bidhaa kwa njia ya kimtandao Pamoja na kutoa ajira kwa vijana kwa njia ya nertwork marketing. Leo tunaenda kuwaonyesha aina ya nguo zinazopatikana kijijishop Na unafuu wake na ubora wake Tutangulize shukrani ,pia tuwataarifu yakuwa tunatangaza biashara za watu kupitia youtube,facebook ,instergram pamoja na kupitia blog yetu hii Karibu ndanda tv tukuhudumie 0625539736 MAVAZI. T_shirt kali ,ya champion boy. Nguo hii ni nzuri ,imara ukubwa wa xxl,xl Rangi za aina zote Bei ni 15000/= + free delivery popote hulipo. Mashabiki wa simba mpooo Uzi bora wa simba ,t shirt ya mtoko Mahali popote unaingia nayo Size na rangi yoyote unaipata Ni nzuri ,ni cotton ,nzito na maandishi ya kudariziwa yaani hayabanduki hata ukae juani. Bei ni ...